Acts 1:21-22

21 aKwa hiyo inatubidi tumchague mtu mwingine miongoni mwa wale ambao wamekuwa pamoja nasi wakati wote Bwana Isa alipoingia na kutoka katikati yenu, 22 bkuanzia ubatizo wa Yahya mpaka siku aliyochukuliwa kutoka kwetu kwenda Mbinguni. Kwa kuwa mmoja wao inabidi awe shahidi pamoja nasi wa ufufuo wake.”

Copyright information for SwhKC